NECTA imetangaza rasmi matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA 2025) pamoja na matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (Standard Four National Assessment – SFNA 2025).
Matokeo hayo yametangazwa rasmi leo tarehe 10 Januari 2026 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said A. Mohamed, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment