NEWS

Tuesday, 20 January 2026

Waziri Nyansaho akagua miradi ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Hospitali Kuu ya Jeshi



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (katikati), akikagua miradi ya Jeshi, Makao Makuu jijini Dodoma jana.

Na Mwandishi Wetu
Dodoma
--------------

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, jana Januari 20, 2026 alifanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kuona maendeleo ya miradi ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombona na Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi yenye hadhi ya "Ngazi 4" Msalato jijini Dodoma.
Katika ziara yake hiyo ya kutembelea miradi hiyo ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Waziri Nyansaho aliambatana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Othman, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga na JWTZ.







Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages