NEWS

Thursday, 5 February 2026

Serengeti: Chandi alivyoongoza Maadhimisha Miaka 49 ya Kuzaliwa CCM yaliyoandaliwa na UVCCM Mara



Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi Marwa, jana Jumatano Februari 4, 2026 alikuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa CCM, yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)) Mara, na Mugumu wilayani Serengeti.


Matembezi


Mwenyekiti Chandi akipokewa na vijana wa VCCM


Wakisalimiana








Mwenyekiti Chandi akiongoza shughuli ya usafi wa mazingira


Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Serengeti, Mrobanda Japan, akizungumza katika kikao maalum.



Mwenyekiti Chandi akishiki kukata keki wakati wa maadhimisho hayo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages