NEWS

Thursday, 26 March 2026

Alex Mkama ateuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Jamii



CP Alex Mkama

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Alex Mkama aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Morogoro kuwa Kamishna wa Polisi (CP) na kumteua kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.

Taarifa kwa umma iliyotolewa jana na Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, ilieleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Andrew Kamtimbo ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa (RCO) wa Mbeya amteteuliwa kuwa RPC wa Morogoro,

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages