
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwaongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi, leo Machi 28, 2026.
No comments:
Post a Comment