NEWS

Tuesday, 31 March 2026

John Heche kuongoza wananchi mazishi ya Bwege wilayani Kilwa leo



John Heche

Na Mwandishi Wetu

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, leo Machi 31, 2026 anatarajiwa kuongoza wananchi katika mazishi ya aliyekuwa mwanachama wa chama hicho, marehemu Selemani Bungara maarufu kama Bwege.

Kwa mujibu wa taarifa ya CHADEMA kwa umma iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Mrenda Rupia, Bwege ambaye alijiunga rasmi na chama hicho mwaka huu, anatarajiwa kuzikwa katika jimbo lake la Kilwa Kusini, mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages