
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (pichani katikati mbele), amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Waziri Katambi aliwasilisha Taarifa ya Wizara,Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji, na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) jijini Dodoma, jana.
No comments:
Post a Comment