
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA - Mfalme Mohamed VI, Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo Machi 21, 2026.

Kutoka kushoto ni Prof. Sospeter Muhongo, Dkt. Medard Kalemani na January Makamba wakiwa kwenye sherehe ya uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme ...
No comments:
Post a Comment