
Mwanadishi wa habari ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mara Online na Gazeti la Sauti ya Mara, Mugini Jacob (wa saba kutoka kulia), katika picha ya pamoja na wanachama wa Tarme Charity, leo Machi 21, 2026 asubuhi, kabla ya wanachma hao kuelekea katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, ambapo wametoa misaada mbalimbali ikiwemo nguo na mahitaji ya shule katika wodi ya watoto Hospitali ya Halmashauri hiyo iliyopo Nyamwaga na shule jirani ambayo walilenga kugusa wananfunzi wenye ulemavu. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment