NEWS

Saturday, 7 March 2026

Rais Samia, Ruto, Museveni wateta kabla ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi EAC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), William Somoei Ruto (kulia) na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Machi 7, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages