
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Zabron Masatu (katikati waliokaa) ambaye pia ni Kaimu Katibu Tawala wa mkoa huo, Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara, Mugini Jacob (kulia waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari waliopatiwa mafunzo ya uelewa kuhusu chanjo ya Polio, mjini Musoma jana, Chanjo hiyo inatarajiwa kutolewa kwa watoto kuanzia Machi 24 hadi 27, 2026 katika mikoa ya Mwanza, Mara, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora na Singida.

(Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment