NEWS

Friday, 10 April 2026

Mawaziri, wadau sekta ya mawasiliano washiriki uzinduzi wa minara 758



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (wa nne kutoka kulia mbele pichani juu), viongozi wengine mbalimbali na wadau wa sekta ya mawasiliano wakifuatilia hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, maunganisho ya mkongo wa mawasiliano katika wilaya 85 na kukabidhi mkongo wa mawasiliano serikalini, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma jana Aprili 10, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages