NEWS

Wednesday, 15 April 2026

Mjumbe wa Jumuiya ya Madola atembelea Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi


Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, jana Aprili 14, 2026 ilikutana na kuzungumza na mjumbe maalum wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), Rais wa zamani wa Malawi, Lazarus Chakwera, ambaye alitembelea ofisi za tume hiyo jijini Dodoma. Ziara hiyo maalum ya mjumbe huyo wa Jumuia ya Madola ililenga kuangalia namna Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyofanyika. (Picha na INEC)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages