
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana Aprili 14, 2026 alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Grupa Zenith kutoka nchini Poland, Dkt. Aleksander Joseph Widuchi, aliyemtembelea Ikulu, jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment