
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Abeid Amani Karume, katika maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Karume yaliyofanyika Kisiwandui, Zanzibar leo Aprili 7, 2026,. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment