
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (katikati), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Stephen Mbundi, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, leo Aprili 13, 2026. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment