
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (wa pili kulia), akifurahia picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi (kulia), MNEC Christopher Gachuma (kushoto) na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara, Mugini Jacob, katika Hoteli ya CMG mjini Tarime, jana Aprili 11, 2026. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment