NEWS

Wednesday, 6 May 2026

Afisa Mahusiano Matongo Gold Mine atembelea ofisi za Mara Online



Afisa Mahusiano wa Mgodi wa Dhahabu Matongo (MGM), Adella Saitabau, akisaini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea ofisi za Mara Online News na Gazeti la Sauti ya Mara, mjini Tarime, Mei 5, 2026. Kushoto ni CEO na Mhariri Mtendaji wa vyombo hivyo vya habari, Mugini Jacob.

CEO Jacob akimkabidhi Adella nakala ya Gazeti la Sauti ya Mara. (Picha zote na Mara Online news)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages