
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo (kulia) na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Dkt. Charles Mahera, wakiteta jambo ndani ya eneo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma hivi karibuni.
Na Christopher Gamaina Ajali ya moto ulioteketeza bweni la wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Prof. Sarungi iliyopo wilaya ya Rorya...
No comments:
Post a Comment