NEWS

Friday, 1 May 2026

Rais Samia amkabidhi Waziri wa Ulinzi Dkt. Nyansaho Kombe la Ubingwa Mei Mosi 2026


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho, Kombe la Ubingwa wa Jumla wa Michezo ya Mei Mosi, katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi, 2026), yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe, leo Mei 1, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages