NEWS

Sunday, 10 May 2026

Rais Samia atembelea Gereza la Ukonga, Chuo cha Urekebishaji





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Paschal Katambi, kwenye hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi namba 48 ya mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCT) Ukonga, jijini Dar es Salaam, Mei, 2026. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages