NEWS

Friday, 15 May 2026

Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini PSSSF



Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, ilieleza kuwa Rais Samia alivunja Bodi hiyo Mei 14, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages