
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na msafara wake akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Iringa kabla ya kwenda kuongoza maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yanayofanyika kitaifa mkoani Njombe, leo Mei 1, 2026.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (wa pili kulia), akifurahi kuzindua mradi wa jengo la utawala la Shule ya Sekond...
No comments:
Post a Comment