NEWS

Monday, 18 May 2026

Wizara ya Ulinzi kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho



Waziri Dkt. Rhimo Nyansaho akizungumza bungeni

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, amewasilisha hati za randama za makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026 /2027.

Uwasilishaji rasmi wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 utafanyika kesho Jumanne Mei 19, 2026 bungeni jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages