
Ummy Ally Mwalimu
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Ummy Ally Mwalimu kuwa mshauri wa Rais wa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, jana Juni 2, 2026 ilithibitisha uteuzi huo wa Ummy ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga na Waziri wa Afya kwa miaka kadhaa.
No comments:
Post a Comment