NEWS

Wednesday, 17 July 2024

Rais Samia atembelea Sekondari ya Seminari ya Kaengesa mkoani Rukwa



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akifuraha picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Kaengesa mkoani Rukwa, alipoitembelea shule hiyo na kuzungumza nao leo Julai 17, 2024.


Rais Dkt Samia Suluhu Hassan (wa nne kulia mbele), Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere (wa tatu kulia) na viongozi mbalimbali wa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Kaengesa, wakiwa katika picha ya pamoja shueni hapo leo Julai 17, 2024. (Picha zote na Ikulu)
Read Also Section

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages