NEWS

Sunday, 4 August 2024

RC Mara Kanali Mtambi ampokea rasmi DC Kemirembe wa Serengeti


Karibu Mara, Kazi Iendelee. Ndivyo Mkuu wa Mkoa (RC) wa Mara, Kanali Evans Mtambi (kulia pichani juu) anavyoonekana kumwambia Mkuu mpya wa Wilaya (DC) ya Serengeti, Kemirembe Lwota alipofika ofisini kwa Mkuu huyo wa Mkoa kwa mara ya kwanza mjini Musoma leo Agosti 4, 2024.


Wakiwa katika mazungumzo ofisini


Wakifurahia picha ya pamoja 
wakati wakiagana nje ya ofisi

Read Also Section

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages