
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi Marwa akisaini katika kitabu cha wageni alipotembelea ofisi ya CCM Wilaya ya Tarime leo Septemba 26, 2024. Kushoto ni Katibu wa Chama wa Wilaya hiyo, Noverty Kibaji.
![]() |
(Picha zote na Mara Online News) |
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Daniel Joseph, akizungumza wakati wa ziara ambayo aliongoza viongozi wa makundi ya vijana katika ziar...
No comments:
Post a Comment