
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chifu Zulu ya mjini Songea, mkoani Ruvuma, wakiimba wimbo kuhusu matumizi ya kompyuta jana. (Picha: Ikulu)
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi akipunga mkono kusalimia wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara mjini Musoma jana Aprili 23...
No comments:
Post a Comment