NEWS

Friday, 1 November 2024

Viongozi wamiminika kuagwa kwa mwili wa Jenerali Musuguri Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo



Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuagwa kwa mwili wa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri katika viwanja vya Hospital Kuu Lugalo jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2024.


Rais Awamu ya Nne Tanzania Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuagwa kwa mwili wa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Samaal leo Novemba 1, 2024.


Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mstaafu Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuagwa kwa mwili wa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2024.


Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuagwa kwa mwili wa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri katika viwanja vya Hospital Kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2024.


Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuagwa kwa mwili wa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2024.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages