Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan akimkumbatia Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kutimiza miaka 94 tangu kuzaliwa kwake katika hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 31, 2024, nyumbani kwa mama huyo huko Msasani, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment