
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko (wa nne kutoka kulia), Rais Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dkt Jakaya Kikwete (wa nne kutoka kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof William Anangisye (wa tatu kutoka kushoto), miongoni mwa wengine leo Desemba 7, 2024 wameshiriki UDSM Marathon jijini Dar es Salaam, iliyoandaliwa kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wanafunzi chuoni hapo.

No comments:
Post a Comment