
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Jacob Mugini akisaini mkataba wa Mradi wa Mtoto Kwanza II mjini Musoma jana. Aliyesimama ni Mratibu wa MRPC, Petro Mwaliko.
Mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiaono wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) na MRPC katika mkoa wa Mara, chini ya ufadhili wa Taasisi ya Children in Cross Fire (CIC).
No comments:
Post a Comment