NEWS

Sunday, 16 February 2025

Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza kuhusu masuala ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia leo Februari 16, 2025.
---------------------------------------------------
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages