
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Prof Caroline Nombo, akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi ambaye alikwenda kukagua maendeleo ya Kampasi ya Oswald Mang'ombe katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo wilayani Butiama jana Aprili 24, 2025. Alitevaa kofia ya bluu ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment