
Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya, Meja Edward Gowele, MNEC Christopher Gachuma, Mhariri Mtendaji, Jacob Mugini na Mhariri wa Habari wa Mara Online News na Gazeti la Sauti ya Mara, Christopher Gamaina, mara baada ya mahojiano maalum kuelekea uzinduzi wa hoteli ya kifahari ya CMG mjini Tarime leo Aprili 25, 2025. Uzinduzi huo utafanyika Mei 3, 2025.

Muonekano wa sehemu ya mbele ya CMG Hotels Ltd. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment