
Baadhi ya Watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora) wakiwa wamekaa mstari wa mbele leo Mei 30, 2025 wakihudhuria kwa siku ya pili Mkutano Mkuu Maaluum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:
Post a Comment