
Mwenyekiti wa Mara Press Club, Jacob Mugini (wa pili kulia), akifurahia picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari walipokutana katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari mkoani Mara yaliyofanyika katika Hoteli ya kifahari ya CMG, mjini Tarime Mei 23, 2025. (Picha na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment