NEWS

Monday, 30 June 2025

Kembaki achukua fomu ya kuomba kutetea ubunge Tarime Mjini kwa tiketi ya CCM


Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Michael Kembaki (kushoto), leo Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kutetea ubunge wa jimbo la Tarime Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Anayemkabidhi fomu ni Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Nyasatu Manumbu.

Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages