
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele (katikati aliyevaa suti) na Mkurugenzi wa Professor Mwera Foundation (PMF), Hezbon Peter Mwera (kushoto kwa Meja Gowele), wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PMF wakati Meja Gowele alipotembelea taasisi hiyo wiki iliyopita.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele (katikati), akikagua Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko inayomilikiwa na Professor Mwera Foundation (PMF) wiki iliyopita. Kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Hezbon Peter Mwera na kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu Mwita Samson Marwa.

Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Tarime (TVTC) kinachomilikiwa na PMF wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele (hayupo pichani), alipotembelea chuo hicho wiki iliyopita.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele (Katikati), akizungumza na viongozi pamoja na wanafunzi wa kike wanaosoma katika Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko wiki iliyopita. (Picha zote na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment