![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpRpcEtPyAR7t2HAqHy3icX182hZvftLKGCefmXnX8kn1D7bK6gYl9plIYW44NkMfVNvWLbyiyYZVL9UIgLx3m6BRuDjxL61SHbCn1-fnx75_ed_qfRzl6t43tyNixSLWz2vsb8VfhgpmgsBfcO7ChKxW4aS41K9Tc_WjSNGnscltL1um4JQrJo8td5Uk/w530-h640-rw/wageni.jpg)
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mara Online News na Gazeti la Sauti ya Mara, Mugini Jacob (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Tarime, Erick Gotifred (wa kwanza kushoto) na wenzake wawili (kulia) walipotembelea ofisi za vyombo hivyo vya habari leo Septemba 5, 2024.
No comments:
Post a Comment