NEWS

Thursday, 5 September 2024

Mara Online wachangia juhudi za uboreshaji Kituo cha Polisi Tarime



CEO wa Mara Online na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini (kushoto) akikabidhi sehemu ya mchango wake wa kuunga juhudi za Jeshi la Polisi katika kuboresha Kituo cha Polisi Tarime kwa Mkuu wa kituo hicho, ASP Ahmed Feruzi jana Septemba 5, 2024.


ASP Feruzi na baadhi ya askari wa kituo hicho wakipokea mchango huo katika ofisi za Mara Online.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages