
Wanafunzi wanaohitimu wakiwa katika ubora wao wakati wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Oktoba 18, 2024.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Mwalimu Mwita Samson Marwa akizungumza wakati wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule hiyo, Oktoba 18, 2024.

Sehemu ya wanafunzi na wazazi wakifuatilia tukio wakati wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Oktoba 18, 2024.

Wanafunzi, wazazi na walimu wakiburudika kwa kucheza muziki kutoka kikundi kinachomilikiwa na Taasisi ya Professor Mwera wakati wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Oktoba 18, 2024.

Wanafunzi wakisoma risala ya wahitimu kwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Oktoba 18, 2024.

Mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa Kata Turwa, Chacha Marwa Machugu akikabidhi vyeti kwa wahitimu wakati wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Oktoba18, 2024.

Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko, Oktoba 18, 2024. (Picha zote na Mara Online News)
Shule ya Sekondari Tarime Mchanganyiko ipo mjini Tarime katika mkoa wa Mara, ikimilikiwa na Taasisi ya Professor Mwera (PMF) ambayo pia inamiliki Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Tarime (TVTC) chini ya Mkurugenzi wake, Hezbon Peter Mwera.
UNAWEZA PIA KUSOMA:
>>Rock City Malls yawa kivutio cha utalii jijini Mwanza
>>Korea kusini yamuweka kiti moto balozi wa Urusi
>>MAKALA:Nyambari Nyangwine awapa vijana misingi ya kujenga taifa akihutubia mahafali ya kidato cha nne Mbezi High School
>>Serengeti, Mlima Kilimanjaro zaendelea kuiheshimisha Tanzania kimataifa
No comments:
Post a Comment