NEWS

Sunday, 8 December 2024

Waandishi wa habari Mara kushiriki kilele cha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia



Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Mara (MRPC) Jacob Mugini( wa sita kushoto kutoka) akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wakiwa wamejiandaa kushiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yanayofanyika Nyamongo- mkoani Mara leo Desemba 09,2024
---------------------------------------

 

Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages