NEWS

Thursday, 30 January 2025

Ajali ya ndege Marekani yaua watu 67 wakiwemo wanajeshi



 
Watu 67 wamekufa nchini Marekani baada ya ndege ya American Airlines kugongana na helikopta ya kijeshi usiku wa Jumatano eneo la Washington D.C.

Taarifa ya Shirika la Habari la CNN imeeleza kuwa ndege ya American Airlines ilikuwa na abiria 64 wakati helikopta ya kijeshi ilikuwa na wanajeshi watatu.

Taarifa imeeleza ndege ya American Airlines ilikuwa ikitoka Wachita, jimbo la Kansas, ilipogongana na helikopta ya Kijeshi.

Rais Donald Trump amethibitisha kuwa hakuna mtu yeyote aliyepona katika ajali hiyo mbaya ya anga.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages