
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kuanzia kesho Ijumaa Februari 7, 2025, Ofisi ya Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Mara imetangaza.
No comments:
Post a Comment