NEWS

Thursday, 20 March 2025


CEO na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Suti ya Mara na Mara Online News, Jacob Mugini (kushoto), akimkabidhi Katibu mpya wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Keibanja, nakala ya Sauti ya Mara, gazeti maarufu na kipenzi cha wasomaji linalochapisha habari na makala za maendeleo ya kisekta, hususan zinazohusu uhifadhi, utalii, madini, maji, barabara na kilimo. Tukio hilo ni la leo Machi 20, 2025 wakati Mugini alipotembelea ofisi hiyo ya chama tawala.

Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages