NEWS

Wednesday, 12 March 2025

Mkaruka arejeshwa Katibu wa CCM Tarime

Hamis Mkaruka


Na Mwandishi Wetu

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Hamis Mkaruka amehamishiwa wilaya ya Tarime mkoani Mara alikowahi kuhudumu kwa miaka kadhaa kabla ya kuhamishiwa Butiama.

Akizungumza na Mara Online News kwa njia ya simu jana Jumanne, Mkaruka alithibitisha taarifa hiyo na kwamba anatarajia kuripoti wilayani Tarime mwanzoni mwa wiki ijayo.

"Ni kweli ninarudi Tarime na nitaripoti Jumatatu ijayo," Mkaruka alisema.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages