NEWS

Friday, 28 March 2025

Shinyanga: Wasira ahutubia mamia ya wananchi Kahama



Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira (aliyeshika mfuko wa shati), jana Machi 27, 2025 aliwasili na kuhutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Stendi mjini Kahama, akiwa katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, uhai wa Chama na kutatua changamoto za wananchi mkoani Shinyanga.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages