
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) jana Aprili 2, 2025 kilifanya Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa Vyama Wanachama wa kituo hicho kwenye ofisi za TCD jijini Dar es salaam.
Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi wa vyama vyote wanachama, ambavyo ni CHADEMA, CCM, CUF, NCCR - Mageuzi na ACT - Wazalendo.
Pamoja na ajenda nyingine, pia walitafakuri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na muelekeo wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
No comments:
Post a Comment